
HATIMAYE YAJULIKANA MAKOSA KWA LESENI. matrafic wa dar es salaam na Tanzania kiujumla yakatazwa kutumia electronic mashine ambazo walikuwa wanatumia na kuwatoza faini sasa watahukumia kwa makosa ya kwa kutumia leseni amabapo watapunguziwa masks kwenye leseni zao ambayo itawapelekea kushuka daraja la leseni pasipo kupigwa faini mnalionaje hili TANZANIA