TAHADHARI KWA UMMA WOTE TANZANIA KUHUSU AJALI
Ifamike kuwa kuanzia  tarehe 11 hadi 20 ya kila mwezi wa nne hadi wa tano kila mwaka huwa ,
Mahususi za kutoa sadaka(kafara) kwa wajenzi huru kwa lugha ya kigeni (FREEMASONS)      
Kwa vile kinachoaminika kuwa ni utekelezaji wa agizo ambalo mwanachama(member) hulikubali kwa  mara ya kwanza  anapokuwa amejiunga na wajenzi huru.
Kuna baadhi ya watanzania wenzetu ambao wamekwisha kujiunga tayari na hili kundi na sasa wapo hatua ya kutekeleza ahadi zao  hizo za kimasonia za  kila tarehe 11 hadi 20 ya mwezi wa nne hadi wa tano kila mwaka.
Ndani ya hizo tarehe huwa kunakuwa na mfululizo wa kuwepo kwa matukio mbalimbali ya umwagaji damu hususani matukio ya ajali za magari ambazo huhusisha mauaji makubwa ya watu kwa kumwaga damu aidha kwa kupoteza maisha kabisa au kupata majeraha mbalimbali yatoayo damu kwa wingi.
Kwa kipindi hichi cha sadaka kwa hili kundi la wajenzi huru ni vema sana kuwataarifu ndugu,rafiki na jamaa zako wa karibu kujiepusha na safari zinazohusiana na magari kwa kusitisha safari hadi pale hizo siku za kimasonia zitakapopita(MASONIC DAYS)
Ifahamike kuwa utoaji sadaka kwa njia za ajali za magari inakuwa ni rahisi sana kwa sababu wajenzi huru wote hupata  urahisi huo katika upatikanaji wa damu  na pia lazima kutakuwa ana umati wa watu tofauti na ajali nyingine  umati mkubwa  wa watu kukusanyika katika ajali huwapa nguvu wajenzi huru  hao.Basi ni vyema kuwaepusha  uwapendao kwa kuwahabarisha Kwa  ujumbe huu, okoa maisha yao dhidi ya sadaka ya wajenzi huru katika kipindi chao hiki

Tuendelee kumuomba Mungu kupitia imani za dini zote ili kwenda kinyume na hizi nguvu za kibinadamu zisizo na mamlaka mbele za Mungu wetu mwenye nguvu.

Comments

Popular posts from this blog

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande