HATIMAYE   YAJULIKANA MAKOSA KWA LESENI.
matrafic wa dar es salaam na Tanzania kiujumla yakatazwa kutumia 
electronic mashine ambazo walikuwa wanatumia na kuwatoza faini
sasa watahukumia kwa makosa ya kwa kutumia leseni amabapo watapunguziwa masks
kwenye leseni zao ambayo itawapelekea kushuka daraja la leseni
pasipo kupigwa faini mnalionaje hili TANZANIA

Comments

Popular posts from this blog

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande