Posts

Droo ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) hatua ya makundi msimu wa 2017/18

Droo ya klabu bigwa Ulaya itachezeshwa leo tarehe 24/08/2017 ili kupanga makundi ya michuano hiyo. Droo hiyo itafanyika muda wa saa moja usiku saa za kitanzania (19:00 hours). UEFA imeshibitisha 'visanduku' (Pots) ambazo timu zimepagwa ili tengeneza makundi hayo, kisanduku cha kwanza kitakuwa na timu ambazo zimeshinda ligi za nchini kwao. Pot 1: Real Madrid (ESP, holders), Bayern München (GER), Juventus (ITA) Benfica (POR), Chelsea (ENG), Shakhtar Donetsk (UKR), Monaco (FRA), Spartak Moskva (RUS) Pot 2:  Barcelona (ESP), Atlético Madrid (ESP), Paris Saint-Germain (FRA), Borussia Dortmund (GER), Sevilla (ESP), Manchester City (ENG), Porto (POR), Manchester United (ENG) Pot 3: Napoli (ITA), Tottenham Hotspur (ENG), Basel (SUI), Olympiacos (GRE), Anderlecht (BEL), Liverpool (ENG), Roma (ITA), Beşiktaş (TUR) Pot 4: Celtic (SCO), CSKA Moskva (RUS), Sporting CP (POR), APOEL (CYP), Feyenoord (NED), Maribor (SVN), Qarabağ (AZE), RB Leipzig (GER) Vitu muhimu vya droo 1. Hakuna timu inaw...

Ripoti ya Mkemia Mkuu wa serikali yathibitisha Manji anatumia Dawa za Kulevya

Mfanyabiashara Maarufu nchini, Yusuph Manji akiteta jambo na Wakili wake, Hudson Ndusyepo wakati wakiwa ndani ya mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu jijini Dar es Salaam leo kabla ya kusomewa mashtaka yanayomkabiri. SHAHIDI wa Kwanza katika kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili mfanyabiashara maarufu, Yusuph Manji amedai mahakani kuwa uchunguzi Wa mkemia Mkuu umeonyesha Manji anatumia dawa za kulevya. Shahidi huyo wa kwanza wa upande wa jamuhuri, Ramadhani Kingai ambaye no Naibu Mkuu wa upelelezi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam amedai hayo leo mbele ya Hakimu Mfawidhi, Cyprian Mkeha Wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Akiongozwa na Wakili wa Jamhuri, Timon Vitalis, Kingai amedai, February 9 mwaka huu aliambiwa kufanya uchunguzi wa suala lililoripotiwa na Mkuu wa mkoa Wa Dar es Salaam Paul Makonda juu ya watuhumiwa wa dawa za kulevya wakiwemo Josephat Gwajima na Yusuph Manji. Amesema alimuelekeza Dutektivu Koplo Sospter kuwapeleka Manji ambaye alifika katika kituo cha polisi mw...

BREAKING – NEWS:Mbunge Wa Jimbo La Bunda “Ester Bulaya” Mikononi Mwa Polisi

Image
Mbunge wa jimbo la  Bunda  mjini  Esther Bulaya  amekamatwa na jeshi la Polisi akiwa katika Hotel ya Kifa Best Point Wilayani Tarime akidaiwa kujiandaa kutaka kufanya mkutano kinyume cha sheria. Kamanda wa polisi Tarime/Rorya Kamishina Msaidizi Mwandamizi  Henry Mwaibambe amesema wabunge  wawili,  Bulaya   na  John Heche  hawatakiwi kujumuika kwenye mkutano wa mbunge wa jimbo la Tarime.

Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

Image
Uongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) unatarajia kuwa na press conference, siku ya Ijumaa, Agosti 18, 2017 itakayofanyika jijini Dar es Salaam. Kupitia mkutano huo, uongozi wa juu wa chama unatarajiwa kuzungumza na umma wa Watanzania kuhusu masuala mbalimbali muhimu kuhusu mwenendo wa nchi, kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kutokana na uzito na umuhimu wa mkutano huo, chama kinaomba kukutana na wahariri na waandishi wa habari waandamizi wa vyombo mbalimbali vya habari (vya kitaifa na kimataifa) hapa nchini, siku hiyo, kuanzia saa 5 asubuhi, katika ukumbi ambao tutawataarifu jioni ya leo au mapema kesho asubuhi, bila kukwaza maandalizi ya vyombo vya habari kuweza kufika mapema, ndani ya muda, kwa ajili ya coverage. ====== UPDATES; Viongozi wa juu wa CHADEMA wataongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam,Ijumaa 18/8/2017.Muda mfupi ujao. => Naomba nizungumzie athari za Serikali kuvunja mikataba ya wawekezaji wa nje" - Tundu Lissu => Wanasheria wanaoi...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Image
Ununuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania. "Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari Zamaradi Kawawa Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao. Serikali imesikitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi. Watanzania tuwe wazalendo kulinda,kutetea na kukabiliana na hujuma zozote zinazorudisha nyuma maendeleo ya Nchi. Watanzania, Tuunge mkono jitihada za Rais Magufuli katika kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya chama, kabila au dini. Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili. Unaweza kusoma mwenyewe tweets za kaimu msemaji wa serikali. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari – MAELEZO, Bibi. Zamaradi Kawawa akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa Habari le...

Usiku wa manane (saa 9 hadi saa 10 alfajiri) ndio wagonjwa wengi mahututi hufariki

Image
Ni jambo la kushangaza na kuchanganya kidogo Kama si sana lakini wagonjwa mahututi wengi (sio wote) hufariki usiku wa manane Natambua fika jana jioni kuna watu wengi tu, wamewaacha wapendwa wao hospital wakitegemea kuwaona leo asubuhi, wengine wakiagana nao kabisa lakini hawatawaona ama hawataonana nao tena wakiwa hai Wahudumu wa vyumba ama wodi za mahututi wanalitambua vema hili ndio maana nyakati kama hizi huwapitia na kujaribu kuwaamsha Kwa imani zetu hizi nje ya taaluma inaaminika kwamba ndio mida ya ziraili mtoa roho hupita kunyofoa roho za watu.... Lakini kitalaam ni kwamba huu ni muda ambao mwili huwa kwenye total relaxation usingizini bila bughudha yoyote hivyo kwa mtu mgonjwa aliyezidiwa anaweza moyo wake ukashindwa kusukuma damu hivyo kupelekea mapigo ya moyo kusimama na kusababisha kifo chake  Kuna kesi za namna hii zinatokea hata kwa wenye afya kamili, inaitwa vifo vya usingizini....ndio maana sipendi kabisa kulala kipindi hiki             ...