BREAKING – NEWS:Mbunge Wa Jimbo La Bunda “Ester Bulaya” Mikononi Mwa Polisi


Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Esther Bulaya amekamatwa na jeshi la Polisi akiwa katika Hotel ya Kifa Best Point Wilayani Tarime akidaiwa kujiandaa kutaka kufanya mkutano kinyume cha sheria.
Kamanda wa polisi Tarime/Rorya Kamishina Msaidizi Mwandamizi Henry Mwaibambeamesema wabunge  wawili, Bulaya na John Heche hawatakiwi kujumuika kwenye mkutano wa mbunge wa jimbo la Tarime.

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola