TANZIA: Mwandishi mkongwe na aliyewahi kuwa DC wa Handeni/Morogoro, Muhingo Rweyemamu afariki dunia

Aliyekuwa mwandishi nguli na mkuu wa Wilaya za Handeni na Morogoro, Muhingo Rweyemamu amefariki dunia asubuhi ya leo.

Kwa mujibu wa watu wake wa karibu, Muhingo ameumwa kwa muda mrefu. Anadaiwa kuwa alikuwa anavimba tumbo, mapafu kufeli na alikuwa asafirishwe jana kwa matibabu zaidi lakini daktari akashauri kuwa ndege ikiruka tuuu angefariki kwani Sukari ilikuwa chini sana.

IMG_3406.JPG

Soma zaidi wasifu wa marehemu kupitia uzi huu Barua ya wazi kwa ndugu Muhingo Rweyemamu

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola