TANZIA: Askofu wa Jimbo Katoliki la Morogoro, Telesphori Mkude afariki dunia

Mkude.JPG

Askofu wa Jimbo Katoliki laf MOROGORO, Mhashamu TELESPHORI MKUDE amefariki dunia hii leo.

Mhashamu Telesphori Mkude ameaaga dunia uko nchini India ambapo alipelekwa kwa ajili ya matibabu ya maradhi yaliokuwa yanamsumbua kwa muda mrefu.

Mungu Amlaze Mahali Pema Peponi

G.O.M.D

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola