Hayati Mwl. Nyerere na Baraza lake la Mawaziri

Wadau kwema??
Baada ya last week kumuona Rais wa Pili wa Tanzania Ndg. Ally Hasan Mwinyi na Baraza lake la Mawaziri (Baraza la Mawaziri la Mzee Ally Hassan Mwinyi??), leo ni zamu ya Rais aliemtagulia ambae ni Hayati Mwl. Nyerere na Baraza lake la Mawaziri.

Kama kawaida Mwenye list adondoshe kwa faida ya wengine please.

Nyerere.jpeg

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola