DAR: Almasi yenye thamani ya Sh. Bilioni 32 yanaswa airport ikisafirishwa kwenda Ubelgiji

Yana thamani ya shilingi bilioni 32.8 na yalikuwa yakisafirishwa kwenda nchini Ubeligiji.

IMG_3387.JPG

Madini hayo yamekamatwa katika uwanja wa ndege ukionekana kutolewa Mwadui kwenda Ubeligij chini ya kampuni moja ya Afrika Kusini ambao Naibu Waziri wa Nishati na madini atazungumza na waandishi wa habari katika uwanja wa ndege wa Mwl Julius Kambarage Nyerere.

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola