Acacia yatangaza kupunguza uzalishaji mgodi wa Bulyanhulu kutokana na zuio la makinikia. Yaunga mkono mazungumzo
Kampuni ya Acacia imetangaza lengo lake la kupunguza shughuli za uendeshaji?uzalishaji katika mgodi wa Bulyanhulu.
Uamuzi huu umepelekewa na upungufu wa mzunguko wa pesa uliosababishwa na zuio la usafirishaji wa makinikia kwenda nje ya nchi na mazingira ya uendeshaji kuwa magumu.
Tangu zuio la mchanga wa dhahabu na shaba liwekwe na Serikali mnamo Machi 3, 2017 na kuathiri takribani 35% ya uzalishaji wa mwaka, Acacia imekuwa na takribani mchanga wenye thamani ya dola za kimarekani milioni 265 ndani ya nchi kulingana na bei za sasa
Katika kusaidia kukabili hasara hizi, Acacia imeamua kuchukua hatua kadhaa ikiwemo kupunguza uzalishaji katika mgodi wa Bulyanhulu ili kulinda ajira za wafanyakazi na watoa huduma mgodini ambao ni Watanzania.
Kampuni ya Acacia bado ina matumaini katika majadiliano yanayoendelea kati ya Barrick na serikali ikiamini yatapelekea muafaka juu ya zuio la makinikia na mazingira ya uendeshaji yatakayowezesha tathmini mpya ya hali ya uendeshaji kwa siku zijazo.

For the English AudienceAcacia Mining PLC has announced its intention to reduce operational activity at Bulyanhulu mine driven by unsustainable cash outflows at the mine due to concentrate ban by the Tanzanian government.
Acacia has a build-up of approx. 265 million USDs worth of concentrate inventory in Tanzania and to mitigate this loss of revenue they have to cut back on operations and capital costs.
The impact of the ban has also led to negative cash flow of approx. 15 million USDs per month at the mine. This reduction will enable mine to resume normal operations once ban is lifted.
Acacia also supports discussions between Barrick and Tanzanian Govt and believes that a negotiated resolution is best for both parties.

Comments
Post a Comment