Tanzania Governance Review 2016: From Kikwete to Magufuli

Screen Shot 2017-08-19 at 22.33.14.png
kikwete_review.jpg

Key messages:

- Jakaya Kikwete was Tanzania's 1st President to come to power through competitive 'Money Politics'

- Jakaya Kikwete's presidency was characterised by an escalation in politically motivated rent-seeking of all kinds

- Despite some short-term successes, Tanzania's overall governance performance during the Kikwete decade was disappointing

- In the past 10yrs, Western donor influence on policy has declined as the importance of aid in total public expenditure has fallen

- In the past 10yrs, Tanzania has reduced financial 'aid dependency' from 42 to 15 percent of the budget

- Institutions of Accountability including CAG, PPRA & PCCB improved their capacity and performance during Kikwete decade

- From Kikwete to Magufuli: There's more systematic moves to restrict Freedom of Speech, Opinion and Assembly

 

- CSOs in Tanzania in the past 10yrs have been weak in monitoring campaigning on issues of government transparency and accountability

- Ludovick Utouh (former CAG): It's true that there were several shortcomings with the 4th govt of Tanzania, but there were many successes!

- The weakness of the 4th govt was the ability to promptly act to some recommendations from oversight institutions - Ludovick Utouh

- Ludovick Utouh: Professionals in Tanzania are failing us. This is not right! Corruption has victims, we have a responsibility to stand against it!

- Ludovick Utouh: We were told that the #TegetaEscrow money were not the public money! Professionals and CSOs did not challenge this...

- Private banking sect exposed its lack of effective internal/external oversight mechanism by allowing huge short-term deposits & withdrawals

- President Magufuli sees #corruption as a matter of personal shortcomings rather than a systematic institutional problem!


========

KWA KISWAHILI:

Ripoti hii imebainisha yafuatayo

1) Jakaya Kikwete alikuwa Rais wa kwanza kwa Tanzania kuingia madarakani kwa kupitia siasa za nguvu ya pesa

2) Pamoja na mafanikio kadhaa, Utawala bora wakati wa urais wa Kikwete ulidorora sana

3) Katika miaka 10 iliyopita, utegemezi wa nchi kwa fedha za wahisani ulishuka kutoka asilimia 42 hadi asilimia 15 tu ya bajeti.

4) Wakati wa Urais wa Kikwete, taasisi za uwajibikaji kama TAKUKURU, PPRA na ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ziliweza kufanya kazi zake kwa ubora zaidi

5) Lakini, baada ya Kikwete kuondoka madarakani na Magufuli kuwa Rais - uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari vimepotea kwa kasi ya ajabu

6) Katika miaka 10 iliyopita, asasi za kiraia nchini zimekuwa dhaifu katika utekelezaji wa majukumu yao kufuatilia Uwajibikaji na Utawala bora.

7) Aliyewahi kuwa CAG, Ludovick Utouh aliwatupia lawama wasomi nchini kwa kuiangusha nchi. Amebainisha hata wizi mwingi uliokuwa ukibainika ulikuwa na mkono wa wasomi wetu.

8) Ripoti imebainisha benki za biashara nchini zilibainisha udhaifu mkubwa katika mifumo yao kwa kuruhusu ufisadi mkubwa kufanyika (mfano Tegeta Escrow).

9) Bado namna Rais Magufuli anavyouchukulia ufisadi inachanganya kwa kiwango cha juu na wengi hawaelewi aidha anajua ni tatizo la mifumo au watu binafsi.

10) Ripoti inabainisha watanzania bado wana imani za kishirikina sana na Tanzania inaongoza kwa imani hizi kwa Afrika Mashariki

Screen Shot 2017-08-23 at 10.26.09.png

11) Ripoti pia imebainisha kuwa Mhimili wa Mahakama umekuwa na maamuzi yanayowashangaza wananchi. Mwizi wa Sh. 10,000 anapigwa faini ya Sh. 500,000 lakini aliyeiba mabilioni ya fedha anaachiwa kwa kukosekana ushahidi!

Screen Shot 2017-08-23 at 10.44.20.png

Unaweza kuipakua ripoti na kuipata kwa kirefu kama attachment (PDF)

Comments

Popular posts from this blog

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande