NEWS-ARLET:Soko La Mbeya Mjini Maarufu Kama SIDO Lateketea Kwa Moto tarehe 15/07/2017 mida ya saa tatu usiku

Kutoka Jijini Mbeya muda huu soko maarufu kwa kuuza vitu mbalimbali vikiwemo nguo za mitumba SIDO lawaka moto muda wa usiku wa jana, Juhudi za jeshi la polisi zikiendelea kutawanya watu kusogea katika maeneo hayo.
ambapo polisi walipiga mabomu ya machozi kuwataqwanya raia.

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola