Msemaji wa Serikali: Magazeti yote nchini Tanzania lazima yasajiliwe upya kabla ya Oktoba 15, 2017
Katika Mkutano huo na Wanaandishi wa Habari, amesema kuwa Mfumo mpya wa utoaji wa leseni kwa machapisho yote umeanza rasmi leo Agosti 23,2017. Hivyo basi kuanzia leo hadi Octoba 15 magazeti yote yahakikishe yanakuja kusajiliwa upya.
Pia Machapisho ya Serikali na Taasisi binafsi ni lazima yasajiliwe ambapo taratibu zote za upatikanaji wa leseni zimewekwa katika tovuti ya Home | TANZANIA INFORMATION SERVICES-MAELEZO amesema Dkt. Hassan Abbasi.
Comments
Post a Comment