MASAKI, DAR: Wayne Lotter, Mwanaharakati aliyekuwa akipambana na ujangili auawa kwa kupigwa risasi

TAARIFA ZA AWALI:

Wakuu,

Usiku wa kuamkia leo mwanaharakati huyu wa PAMS Foundation ya Jijini Arusha ameuawa vibaya kwa kupigwa risasi.

Inadaiwa gari lake lilikuwa blocked na akamiminiwa risasi kadhaa na kupelekea kifo chake.

Taarifa zaidi zitafuata...

[​IMG]

Mojawapo ya makala zake: How intelligent law enforcement in Tanzania is saving elephants - Africa Geographic

Are we safe?

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola