Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo August 30 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.
Utengenezaji wa sabuni hii una njia nyingi Hatua ya kwanza Chemsha vipimo 7 vya mafuta ya mawese au mafuta ya shea hadi ifikie hatua ya kimiminika chuja na yaweke kwenye chungu cha mfinyanzi au chombo cha plastiki. Hatua ya pili Pima vipimo 5 vya maji baridi kwenye chombo cha plastiki ongeza kipimo 1cha sodium hydroxide kwa uangalifu mkubwa kwenye maji acha hadi mchanganyiko huo uyeyuke. Subiri mchanganyiko wa sodium hydroxide na mafuta ukaribie kupoa. Hatua ya tatu Taratibu ongeza mchanganyiko wa sodium hydroxide kwenye mawese,huku ukikoroga haraka haraka bila kusitisha ukitumia ubao .hii ni njia nzuri zaidi. Njia ya pili Chemsha mafuta kwenye joto la kadiri ya 55C Changanya maji na sodium hydroxide na uache mchanganyiko huu upoe hadi kufikia joto hilohilo. Baada ya kuandaa mchanyiko wako changanya vimiminika hivyo viwili huku ukikoroga kwanguvu sana kadiri uwezavyo, taratibu sabuni itageuka kuwa laini. Kabla sabuni haijawa ngumu mwaga sabuni ndani ya kasha la mbao lilotanguli...
Ilikuwa mwaka 1927 ndipo chama cha AA kiliundwa kwa msaada wa Gavana wa Kiingereza nchini Tanganyika Sir Roland Davidl Cameron na Dr Agrey raia wa Ghana mwenye mtaa Kariakoo ya leo, huyu Mghana alikuwa mshauri wa kisheria na kimuundo tu, kikawa kinafanyia shughuli zake nyumbani kwa Rais wa kwanza wa AA bwana Cecil Matola kutoka kabila la wayao, na miaka mitatu baadae, yaani 1930 ndipo wakapata jengo toka kwa Gavana Donald Cameron, hapo ndipo picha hii ilipigwa, Mwaka 1933 Cecil Matola alifariki dunia, na nafasi yake ikakaimiwa na katibu mkuu wa AA Bwana Kleist Sykies (ambae baba yake mzee Platanta alikuwa ni muhamiaji haramu toka Afrika Kusini aliyefika Tanga na kuanzisha makazi huko baada ya kuwa mateka wa wajerumani vita ya kwanza ya dunia), mpaka mwaka 1948 chama kilipobadilishwa jina nakuwa TAA chini ya Rais wake Daktari Vedasto Kyaruzi (Mhaya), Hapo Rais wake wa kwanza wa TAA akawa Daktari Vedasto Kyaruzi, na katibu akawa Abdulwahid Klest Sykies, miaka miwili baadae, Dr Kyaruzi ...
Naona ukurasa wa mbele wa gazeti la MTANZANIA wameandika " Wachina meli ya samaki wa Magufuli kwenda mahakama ya kimataifa. Wadai walipwe fidia pamoja na meli yao " Na hii ndiyo habari kubwa kwenye gazeti hilo. Mimi nawaambia, kwa huu utawala jiandaeni kwa karipio na mkizingatia ndiyo usajili mpya ooohoooo. Any way hongereni kwa ujasiri mliouonyesha. "Tukemee utawala usiojali utawala bora" ===== KAMPUNI ya uwakili ya L & B inayowatetea raia wa China – maarufu ‘Wachina wa Samaki wa Magufuli’, waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya uvuvi haramu katika ukanda wa uchumi wa bahari ya Tanzania, inatarajia kwenda Mahakama ya Kimataifa ya Bahari kuwasilisha malalamiko yao kama hukumu yao haitatekelezeka, imefahamika. Miongoni mwa malalamiko hayo ni kutaka kujua hatima ya madai yao ya meli ya Tawariq 1 yenye thamani ya Dola za Marekani milioni 2.3 na samaki waliokutwa kwenye meli hiyo wakiwa na thamani ya zaidi ya Sh bilioni mbili. Hatua hiyo imefikiwa kutokana na uamu...
Comments
Post a Comment