Kwa mara ya kwanza, Serikali yachukua gawio la Tsh. Bilioni 19.5 kutoka Benki ya CRDB

Hii ni mara ya kwanza kwa serikali kupata gawio tokea iwekeze fedha zake ktk bank ya crdb mnamo mwaka 1994. Fedha hizo zitatumiwa na serikali ktk shughuli nyingine za maendeleo.

===============

Serikali imechukua fedha zake shilingi Bilioni 19.5 kati ya shilingi Bilioni 20 ambazo walitakiwa kuzichukua kutoka Benki ya CRDB kama marejesho ya fedha ambazo benki hiyo ilipewa mwaka 1996 ili kuinusuru isifilisike.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James amesema serikali imeamua kuzichukua fedha hizo ambazo Tanzania ilipewa msaada na serikali ya Denmark kwa kuwa benki hiyo inajiendesha kwa faida ili zitumike kuimarisha sekta ya afya.

IMG_6610.JPG

Comments

Popular posts from this blog

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande