KISUTU, DAR: Kesi namba 457 (Jamhuri dhidi ya JamiiForums) yaahirishwa hadi Agosti 24
=> Mawakili wameomba kuwasilisha hati ya mabadiliko ya mashtaka
=> Hati imepokelewa hakimu Mwambapa na anasema ni discretion ya mahakama yao kukubali ama la
=> Mawakili wa JamiiForums wanaomba kujadiliana na wateja wao kwa kuwa maswali watajibu wateja
=> Washtakiwa wameulizwa kama wanakubali taarifa hiyo?
=> Wote wamekubali taarifa juu ya wasifu wao binafsi na kuwa kweli wapo mahakamani.
MORE:
Upande wa mashtaka unasema:
- Usajili wa mteja katika JamiiForums humtaka mteja kutoa majina, email, namba yake ya simu
- Jamhuri inaamini Washtakiwa wanaweza kujua taarifa hizi za mteja (Sababu zipo kwenye database yao) ila walikataa kuzitoa kwa Polisi kwa makusudi.
- Tarehe 10/05/2016 mkuu wa upelelezi kanda maalum alimwandikia barua Mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo kumtaka atoe taarifa za mteja/wateja aliyeandika taarifa ya uongo kwenye mtandao wake kuhusu kampuni za CUSNA Investment na Ocean Link lakini walikataa kutoa ushirikiano.
- Mashtaka ni kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao kifungu cha 22(1).
Kesi imeahirishwa hadi tarehe 24 Agosti 2017 mashahidi watakapoletwa.
CUSNA ni mojawapo ya makampuni yaliyoorodheshwa katika makampuni yaliyosimamishwa kwa muda kutoa huduma bandarini (Februari 2016). Soma zaidi Makampuni 210 ya Clearing & Forwarding yasimamishwa kutoa huduma na TPA (namba 40).
MASHTAKA YALIVYOKUWA YAKIBADILIKA:

Then

Now

======
Aidha kesi nyingine iliyokuwa ikiunguruma kwa Hakimu, Simba imeahirishwa hadi Agosti 28 na Agosti 29 na Jamhuri imeahidi kuja na mashahidi 3 kwa siku 2 mfululizo.

For English AudienceThe Charges on Case number 457 of 2016 against Jamii Media, at the Kisutu Magistrate Court have been amended. The Charge sheet now states that on 10th May 2016, the Dar es Salaam ZCO wrote a letter to JamiiForums' Director, Maxence Melo requesting for particulars of members of the platform who posted 'false' information against CUSNA INVESTMENT and OCEAN LINK but they refused to cooperate.
It should be noted that, the previous charge sheet did not mention the companies/members involved.
From the Prosecution Side:
They claim that for one to be registered on JamiiForums, it requires a Name, an Email and a Phone Number and they know that the accused can provide these information because they are in the forum database but they have deliberately refused to disclose them.
The offences are based on The Cybercrime Act, Section 22(1)

Comments
Post a Comment