DAR: Nyumba Kimara zabandikwa 'stop order' kutoka mahakamani. TANROADS wazibomoa, bado wadai wameamrishwa
Wakazi watueleza: Mahakama imetoa zuio (stop order) na zimebandikwa kwenye nyumba husika lakini TANROADS yaendelea kubomoa. Wakazi wametuonyesha zuio na waeleza historia ya makazi yao.
Mwanzoni TANROADS walidai hawakuwa na taarifa kuwa mahakama imezuia, sasa order kutoka mahakamani zikabandikwa kwenye nyumba, lakini zimebomolewa bado.
Shuhuda wa tukio hilo amesema TANROADS waliwaambia wanatekeleza maagizo kutoka juu

Comments
Post a Comment