BURUDANI Madee Apewa Onyo Na Jacqliine Wolper Kwa Kutumia Sura Yake Kwenye Video
Msanii wa filamu hapa nchini Tanzania Wolper amemuonya msanii wa Bongo Freva Madeea.k.a Rais wa Manzese kwa kutmia sura ya katika video ya wimbo wake mpya wa ‘Sikila’aliomshirikisha Tecno Kutoka nchini Nigeria.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanadada Wolper alimuandikia ujumbe wa kumuonya Madee Licha ya kumuonya pia alimpongeza kwa Idea aliyoitumia Madee na kutaka ampigie simu ili amlipe kwa kuto kumuomba kutumia sura yake kwenye kichupa hicho cha ‘Sikila’




Comments
Post a Comment